home

Karibu Hopefulsunset

Mahali pa Kukutana, Kuungana na Kujenga Mahusiano ya Kweli

Je, unaishi na HIV na unatafuta rafiki, mwenza wa maisha au mtu wa kushiriki naye safari ya maisha?

Hopefulsunset ni jukwaa salama na la faragha linalowaunganisha watu wanaoishi na HIV kutoka Tanzania. Tunaamini kwamba kila mtu anastahili kupendwa, kuheshimiwa na kupata nafasi ya kujenga mahusiano yenye furaha.

Kwa Nini Ujiunge Nasi?

❤️ Kutana na watu wenye hali inayofanana na yako

❤️ Jenga urafiki, mahusiano au ndoa

❤️ Mazingira salama na yenye faragha

❤️ Wasifu rahisi kutengeneza na kutumia

❤️ Wasiliana na wanachama wengine kwa urahisi

❤️ Hakuna unyanyapaa – ni jamii inayojali na kuheshimiana

Jinsi ya Kuanza

  1. Jisajili bila malipo
  2. Tengeneza wasifu wako au gusa button ya continue with google
  3. Tafuta na kutazama wanachama wengine
  4. Anza mazungumzo na kujenga mahusiano mapya

Ahadi Yetu

Tunathamini usalama na faragha ya wanachama wetu. Taarifa zako zinalindwa na zinatumika kwa mujibu wa sera yetu ya faragha.

Jiunge Leo

Usikose nafasi ya kukutana na watu wapya, kujenga urafiki wa kudumu au kupata mwenzi wa maisha.

Jisajili sasa na uanze safari yako ya kupata mahusiano ya kweli.

Scroll to Top